Wednesday, January 13, 2010

UTAYARISHAJI MZIMA WA COVER YA MOVIE YA DANGER ZONE WAKAMILIKA


Hii ndio Cover ya Movie ile niliyoifichaga jina na leo cover yake imekamilika,ndugu Wadau nimeamua kutoa na jina lake kabisa kama mnavyoona kwenye cover movie inaenda kwa jina la DANGER ZONE'HIMAYA HATARI' Ndio mzigo nilioutayarisha kwa kiwango kikubwa kama mlivyokuwa mnaona katika picha nilizokuwa nazitoa na nitaendelea kuwaleteeni baadhi ya picha nyingine.Wadau kaeni mkao wa kula DANGER ZONE inakuja imesheeni nyota kibao akiwemo mshiriki wa Big Brother Elizabeth Gupta,Dk Cheni,Johari,Auntie Ezeckiel bila kumsahau THE GREATEST Mwenyewe ndani ya nyumba HUU NDIO MZIGO WA KWANZA WA 2010, USUBIRI MWISHO WA MWEZI HUU

No comments: