Wednesday, January 13, 2010

HAPPY BIRTHDAY STEVEN KANUMBA


Katika Hotel ya Peacok Millenium Tower kijitonyama kulifanyika Suprise ya hali yajuu iliyomshtua Steven Kanumba na kumwacha akimwaga machozi na kukaa chini huku asiamini kilichotokea baada ya kufanyiwa sherehe ya birthday bila yeye kutojua chochote kile kinachoendelea,mchezo mzima ulipangwa siku moja kabla ya siku ya birthday ya Kanumba.Kama kawaida THE GREATEST na Mdau wangu INNO BACHAD tulipanga inshu nzima bila Kanumba kushtukia mchezo,Mdau alimpigia simu na kubadilisha lugha kwa namba ambayo THE GREAT aifahamu kabisa na kujifanya ni producer kutoka Ghana anawahitaji Kanumba na mimi kucheza movie Ghana kwa malipo makubwa, ikapangwa appointment tukutane Peacock saa tatu na nusu kwa maongezi zaidi KANUMBA ALIPOFIKA ALIKUTANA NA BONGE LA SUPRISE 'HAPPY BIRTHDAY THE GREATSaturday, January 9, 2010

No comments: