Tuesday, August 4, 2009

Sexiest Man achukua chake

Mo Rocka kijana aliyejishindia U-Sexiest man in Dar akabidhiwa kitita chake cha shilingi za kitanzania milioni moja kutoka Clouds Fm.

Kijana huyo mwenye mvuto ashukuru sana Clouds na kusema kuwa anatumia kiasi fulani cha fedha hizo kwa watoto yatima.

“Nashukuru kwamba nimekabidhiwa zawadi yangu na kuahidi kuwa nitatumia kiasi fulani na watoto yatima”Mo Rocka.

No comments: