Tuesday, August 4, 2009

Marlaw kuachia albam ya pili mwezi ujao.


Msanii wa Bongo Fleva nchini Marlaw anayetamba na wimbo Peep Peep’ anatarajia kuachia albam yake ya pili mwezi ujao ambayo bado hajajua aipachike jina lipi.

Akiongea na Mafia Kisiwani, Marlaw alisema kuwa albam hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo kumi na mbili.

“Sijajua jina la kuipa albam yangu lakini cha msingi ni kwamba mwezi ujao albam itakuwa mtaani na itakuwa na jumla ya nyimbo kumi na mbili” Marlaw

No comments: