Tuesday, August 4, 2009

PIGA KURA KWA MWANA FA NA AY...TUILETEE SIFA TANZANIA


Mwana FA, Amechaguliwa kuwania tuzo za Video na kituo cha ChannelO, South Africa, katika categories 2 tofauti, kwa wimbo NAONGEA NA WEWE alioshirikiana na AY


HOW TO VOTE


MWANAFA "The Most Gifted or Duo... SMS 4E to +27839208400
MWANAFA "The Gifted East Africa Video.. SMS 13B to +27839208400


(International SMS rates apply)


You can also visit www.channelo.co.za for more details

No comments: