Sunday, March 1, 2009

NEW SONG: LEO-AY


Msanii AY ametoa wimbo mpya ambao tayari umeshaingia kwenye vituo mbalimbali vya radio na mtandaoni kama hapa BC.Wimbo unaitwa Leo na umetengenezwa katika studio za Hermy B. Video ya wimbo huu inatarajiwa kuanza kutengenezwa wikiendi hii chini ya kampuni kutoka nchi jirani ya Kenya inayojulikana kama Ogopa Video.

No comments: