Friday, February 27, 2009

Ban Ki Moon


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon (kulia), akiwapungia wakazi wa Dar es Salaam waliofika kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alhamisi.

No comments: