Monday, August 18, 2008

MkaaWauza mkaa wakijadiliana bei na wateja wao katika eneo la Gongo la Mboto nje kidogo ya Dar es Salaam jumapili. Mkaa bado ni nishati pekee inayotegemewa na wakazi wengi wa Dar es Salaam. (Picha na Bernard Rwebangira).

No comments: