Tuesday, April 1, 2008

JAMANI MWANAMUZIKI HUYU ANA VISAA!!


Mwanamuziki Michael Jackson wa Bongo akipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam akiwa na nyoka aina ya Chatu ili kuwajulisha wapenzi wake kuwa siku hizi atakuwa akifanya maonyesho yake katika kumbi na nyoka huyo.
(picha na Issa Mnally

No comments: