Saturday, February 16, 2008

Ngwair kaishiwa mistari?


Mashabiki kadhaa wameliambia Ijumaa kuwa, kitendo cha msanii huyo kukaa kimya muda mrefu na kuonekana akitesa na kazi za wenzake ni sawa na kugeuka muuza sura.

“Mimi nampenda yule kaka, nyimbo zake huwa zinanikosha lakini siku hizi amekaa kimya, simsikii kabisa, sijui ameishiwa?” Alisema shabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha.

Baadhi ya nyimbo ambazo Ngwair anaonekana kwenye video zake ni pamoja na Hapo Vipi? (Profesa Jay), Kazi za ATM (East Coast) na Si Ulisema (Q Chilla).

No comments: