Friday, February 29, 2008

Kibaki, Odinga mambo shwari


Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Msuluhishi Mkuu wa Mgogoro wa Kenya ambaye ni Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Kofi Annan (kushoto), Kiongozi wa ODM, Bw. Raila Odinga (wa pili kushoto), Rais wa Kenya, Bw. Mwai Kibaki (wa pili kulia) na Rais Mstaafu wa Tanzania, Bw. Benjamin Mkapa kwenye jengo la Harambee jijini Nairobi walikokuwa wakifanyia mazungumzo jana. (Picha na Freddy Maro)

No comments: