Monday, September 10, 2007

Poleni watanzaniaHii ndio timu ya taifa ya bongo Taifa Stars (JK BOYZ)poleni sana watanzania wenzangu kwa kufungwa na Mocambique (Msumbiji)1-0 bao lilifungwa na yule mchezaji wa timu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini Tico Tico Buccuane.Na hii iwe ni fundisho kwetu maana wabongo tulijipa mia kwa mia kwaqmba tutashinda sababu tunacheza kwenye uwanja mpya,Wabonbgo tuache fikra hizo tujitahidi ili tuweze kucheza japo 2010 hapa kwetu barani Afrika

No comments: