Thursday, June 21, 2007
Serikali inapozingua
Huku nchini Afrika Kusini Serikali yao inapozingua huwa hawachelewi na hawaogopi kuiambia ukweli na kama bado wataendelea kujifanya kuwa nchi ni yao peke yao,wao huamua kitu kimoja kuingia barabarani na kufanya maandamano na kama watatia pamba masikioni basi nyumba zao hugeuka kuwa jivu na wao kukimbia mahali ambapo wanapaongoza
Posted by
Mafia Kisiwani
at
3:06 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment