Thursday, June 21, 2007

Barcelona wachukua kombe








Usiku wa jana katika uwanja wa Loftus mjini Pritoria watu wapatao 50,000 walijionea wenyewe kwa macho yao yasio na pazia timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania wakichuana na mabingwa wa soka nchini Afrika Kusini,na mpira huo kuisha Barcelona wakiwa mabingwa wa kombe la Africa Goodwill Cup kwa kuwafunga Mamelodi Sundown 2-1,bao la kuongoza lilifungwa na mchezaji Suprise Moriri dakika ya 2 ya mchezo huo na mabao ya Barca yalifungwa na Marin Ezquerro dk ya 77 na bao la pili lilifungwa na Marc Crosas katika dk ya 81

No comments: