Hawa ni wakazi wa Cape flat mjini Cape Town wakiitia moto nyumba ya wanayemuamini kuwa ni muuza madawa ya kulevya
Vitendo kama hivi vikifanyika hapa kwetu nchini Tanzania nadhani tutaheshimiana kwa wale wote wanaodhani nchii hii ni ya kwao peke yao
Viongozi ama mtu yeyote ambaye anadhani kwamba yeye ndio yeye tunaweza tukawaonesha mifano kwa kufanya kama walivyofanya wenzetu
No comments:
Post a Comment