Saturday, March 14, 2009

UKO WAPI MAD ICE?


Kuna msomaji mmoja ametuuliza swali ambalo hatuna jibu.Yawezekana wewe ukawa na jibu na hivyo tunaomba msaada.Msomaji katuuliza alipo mwanamuziki Mad Ice kwani hajamsikia kwa muda mrefu.Mara ya mwisho tulisikia kwamba yupo nchini Finland.

Mad Ice aliwahi kutamba sana na kibao chake Baby Gal.

No comments: