Saturday, March 14, 2009

NEW SONG:MR.POLISI MAN-FEROUZ


Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kiasi kwamba mabango mitaani yakawa yanasoma kwamba Ferouz ndio imetoka kwenye anga za muziki, hatimaye amerejea tena.

Wimbo ambao amekuja nao unaitwa Mr.Polisi Man na kama kawaida umerekodiwa ndani ya Bongo Records chini ya producer wake wa muda mrefu,Majani.

Je ndio mwanzo mpya wa Ferouz ambaye hapo zamani alitamba sana na kundi zima la Daz Nundaz

No comments: