Sunday, November 9, 2008

WACHA TUFURAHI


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifurahia jambo na Wabunge wa Viti Maalum Janet Msaburi (kushoto) na Felister Bura (kulia) nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2008. Wapili kulia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: