Monday, August 25, 2008

SHIKA UNGO..PEPETA PEPETA..!


Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba akicheza muziki wa African Stars 'Twanga Pepeta International' akiwa ameshika ungo wakati wa hafla iliyoandaliwa na Zain Tanzania mjini Dodoma, wikiendi.

No comments: