Thursday, April 10, 2008

natafuta Mchumba


Habari zenundugu zanguni,mimi ni msichana wa miaka 21,natafuta mchumba kupitia mtandao huu wa Mafia Kisiwani,SIFA ZA MUOMBAJI
1.awe na akili timamu
2.Asiwe na mtoto nje
3.Elimu ni form 6 kwenda juu
4.umri kuanzia 25-33
5.awe handsome wale wote wenye sura mbaya samahanini sana
6.asinywe pombe
7.asivute sigara
8.asiyenda kuruka ukuta
9.awe na nyumba na sio banda la uani
Asanteni sana
Tuma picha yako na CV yako hapa fbarosso@yahoo.co.uk

1 comment:

Anonymous said...

Sorry mamii umesema awe msomi na awe na nyumba vipi kwan ww una elimu gani na nyumba ya aina gani????