Saturday, March 29, 2008

MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAMGari hii aina ya Toyota Land cruiser ambayo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja ilinaswa na Kamera yetu ikiwa imezimika katikati ya maji,katika makutano ya Barabara za Bibi Titi Mohamed na Morogoro eneo la Akiba Jijini Dar es Salaam,na hilo jingine ni coaster likifanya kazi zake kama kawaida Tanzania,kufuatia mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni (Picha na Christopher Lissa)

No comments: