Wednesday, January 23, 2008

TMK wanaume


Wasanii wa kundi la TMK Family, Mhe. Temba na Chegge (kushoto) wakiwarusha mashabiki katika shoo ya utambulisho wa albamu zao tatu uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Kongwa Bar, Vingungui Dar es Salaam.

No comments: