Friday, November 30, 2007

Mrembo huyu azua balaa!NA Mariam Mndeme

Picha ya Miss Utalii mwaka 2006 Ania Said, iliyotolewa na gazeti la The Bongo Sun, Jumanne hii, imezua balaa baada ya wasomaji kupiga simu katika ofisi za gazeti hili wakidai kuwa mrembo huyo hakuwa Mtanzania kama ilivyoainishwa.

Wakizungumza na gazeti hili wasomaji wa The Bongo Sun, ambalo ni ndugu na hili, walisema kuwa hawaamini kuwa mrembo huyo ni Mbongo kutokana na mandhari ya eneo alilopigia picha, pozi na mvuto wake.

No comments: