Friday, August 3, 2007

Happy Birthday Madiba/Mandela

Hapa mzee Mandela akiwa na mkewe wa sasa bibie Graca machel,na mkewe wa zamani bibie Winnie M Mandela,katika sherehe za kusheherekea miaka 89 ya mkuu huyu wa Afrika KusiniTunakutakia kila la kheri katika dunia hii

No comments: