Monday, July 9, 2007

Huyu ni yule mchezaji wa simba Sports Club ya jijini Dar es Salaam akishangilia ushindi dhidi ya watani wao wa jadi ya pale Jangwani young African kwa kuwatundika kwa matuta 5-4
Simba Oyeeeeeeeeeeeee

No comments: