Friday, February 1, 2008

Walikuwa wanajulikana kama East Coast Team


Pichani ni baadhi ya wasanii wa kundi lililokuwa likijulikana kama The East Coast Team lililokuwa na makazi yake Upanga jijini Dar-es-salaam.Kundi hili limeshasambaratika.Unadhani kwanini makundi mahiri kama hili ambalo lilikuwa linaonekana kuwa lenye mafanikio huishia kusambaratika?Umoja sio nguvu tena?

Picha kwa hisani ya AY

No comments: