Thursday, February 21, 2008

Habari za Leo


Baadhi ya wafanyabiashara wa maduka yaliyopo katika kituo cha daladala mwenge,Dar es salaam wakiokoa mali kutoka katika maduka yaliyokuwa yakiwaka moto kituoni hapo leo asubuhi

No comments: