Saturday, January 12, 2008

Mambo ya Mwaka Mpya


Mnenguaji chipukizi wa Bendi ya FM Academia “Wazee wa ngwasuma’’ ambaye jina lake halikufahamika hivi karibuni alinusurika kufanyiwa kitu mbaya na wahuni baada ya kulala fofofo ndani ya Ukumbi wa Princes uliopo Sinza jijini Dar es Salaam....

No comments: