Friday, November 23, 2007

Uwanja wa FisiNa Christopher Lissa na Richard Bukos

Licha ya jitihada alizozifanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Kandoro kuhakikisha anasambaratisha vitendo vya ufuska katika maeneo ya Uwanja wa Fisi jijini Dar es Salaam, vitendo vya ufuska bado vinaendelea kushamiri kama kawaida.

Uchunguzi wa gazeti hili umeonesha kuwa kuna kundi kubwa la makahaba wanaoishi na kufanya shughuli zao za ufuska kwenye vibanda vilivyozunguka Uwanja wa Fisi.....

1 comment:

Anonymous said...

watanzania hii ni jadi yetu hatuwezi kuacha