Saturday, July 21, 2007

Beyonce na Jay-z


Hapa bibie Beyonce akiwa na dume lake Mr Jigga Man,katika beach moja ya kukaa bila nguo huko Mji wa maraha Paris ,lakini wawili hawa wanaonekana wakiwa na aibu kwa kutowaangalia wengine na wao wenyewe kuvaa nguo

No comments: