Hali kwa sasa si shwari nchini Afrika Kusini baada ya serikali na wafanyakazi wake kushindwa kuelewana kwenye mambo ya mshahara ambapo serikali imeofa asilimia 7.5% wakati wao wakiwa wanataka 12%
Na hawa ni wanafunzi wakionekana kuwaunga mkono walimu wao kwa kuchoma moto matairi
Tunaomba hali kama hii iwepo Tanzania maana serikali imezidi kuwapuuza raia wake
No comments:
Post a Comment