

Huyu jamaa asikuambia mtu anajituma ile ile na ndio maana anakubalika sana sasa hivi katika sanna ya muziki wa Kwaito nchini afrika kusini anatesa ile kinoma na nyimbo yake ya Abay'ngisukela hapa akitumbuiza katika touch africa babes auditions 2007 iliyofanyika katika ukumbi wa Kingsmead Swimming Pool mjini Durban
No comments:
Post a Comment