tag:blogger.com,1999:blog-5080764179713068946.post4218876808286770789..comments2023-10-12T08:11:55.471+00:00Comments on Mafia Kisiwani: Nakaaya msagaji?Mafia Kisiwanihttp://www.blogger.com/profile/03434605677827786534noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5080764179713068946.post-90010392965474244432008-03-30T08:28:00.000+00:002008-03-30T08:28:00.000+00:00Jamani mimi ninasikitika sana kuona mabinti wa...Jamani mimi ninasikitika sana kuona mabinti wa kitanzania nao wanaanza kujiingiza katika suala la mapenzi ya kisagaji huku vyombo vya habari vikishabikia suala hilo.Ukweli ni kwamba kiasili na kiuhalisi hakuna wala hayupo mwanamke yoyote yule duniani aliyeumbwa na Mungu Baba wa Mbinguni ambaye anaweza kuwa nahisia za kimapenzi au kuvutiwa na kingono na mwanamke mwenzake.Kama hiyo haitoshi kuna SIRI MOJA NZITO SANA iliyopo NYUMA YA KUWEPO KWA MAPENZI YA KISAGAJI!.Kwa utafiti wangu wa kina na kitaalamu ambao nimeufanya kuanzia mwaka 2005 nimegundua k,uwa kuna SIRI NZITO SANA iliyopo NYUMA YA MAPENZI YA KISAGAJI.Nime andaa kitabu kinachoitwa SIRI NZITO SANA NYUMA YA MAPENZI YA KISAGAJI! ambacho nina uhakika watanzania na ulimwengu wote watakapo kisoma kitabu hicho wataigundua siri hiyo nzito sana na bila shaka suala la mapenzi ya kisagaji na yale ya kisenge halitakuwwepo ten a tanzania.Ni siri moja nzito sana ambayo ulimwengu unapaswa kuifahamu, kwani hata hao mabinti wasagaji na wasagwaji hawajui chochote kuhusu siri hiyo.Taratibu za kukipeleka kitabu mtamboni zinakamishwa na uhaba wa pesa.Hivyo ninatafuta wafadhili amabo wapo tayari kushirikiana na mimi ili kazi hiyo iweze kutoka na hatimaye kuufikia umma.<BR/> NYINYI MABINTI WA KITANZANIA ACHENI UPUMBAVU! MWANAMKE HAWEZI KUWA NA MATAMANIO YA KINGONO KWA MWANAMKE MWENZAKE HATA SIKU MOJA! KINACHOTOKEA NI ADMIRATION TU NA WALA SI VINGINEVYO.<BR/> MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKA AMEEEEEN.maishamemahttps://www.blogger.com/profile/17913826177273417762noreply@blogger.com